Katika mechi tano zilizopita za ligi baina ya timu hizo, zimefungana idadi ya mabao 12 ikiwa ni wastani wa mabao 2.4 kwa mchezo na ni mechi moja tu kati ya hizo ambayo timu moja haikupata bao.
Liverpool inayonolewa na kocha Arne Slot ndio imetabiriwa kuwa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ambapo imepewa asilimia 17.2 ya ...
Mara mbili tofauti ambazo Serengeti Boys ilishiriki Afcon U17 ambazo ni 2017 na 2019 haikufanikiwa kufuzu Kombe la Dunia.
Nafahamu kuna mambo ni magumu mno kwa mzazi kuzungumza na mtoto wake, likiwemo hili la afya ya uzazi, wengi tunaamini kwamba ...
Viongozi wa umma wanapaswa kuelewa kuwa wao ni watumishi wa wananchi na si waajiri wao, kwa sababu kodi za wananchi ndizo ...
Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian Of The Year' katika usiku wa Tanzania Comedy Award, ...
Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025, ulijaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao baada ya kushinda ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kiongozi huyo wa kiroho pia aliongezewa damu ili kutibu tatizo la anemia lililomkumba.
Leo tumepewa ujumbe unaosema “Katika kila unalolipitia Mungu akuinulie mtetezi.” Mpendwa tunaishi katika dunia ambayo ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wasanii kuacha tabia ya kugombana badala yake wakae chini kuzungumza na kusameheana.
Kampeni ya Chadema ya ‘No reform, no election’ (Bila mabadiliko, hakuna uchaguzi) imeendelea kupasua vichwa makada wa chama ...