Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga, Gagi Lala ameuhakikishia uongozi na watumishi, kuwa ataendeleza ushirikiano nao ili kuhakikisha miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo m ...
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida imefanikiwa kufanya utafiti na machapisho 13 pamoja na kutoa ushauri wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni nchi huru haitakubali kupangiwa namna ya kufanya mambo yake na mataifa mengine kwa kisingizio cha misaada au kitu kingine chochote kile, badala yake itaamu ...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeitoa wito kwa mashirika ya kimataifa na wadau wa maendeleo kuongeza ushirikiano ...
Mkuu wa dawati la watetezi wenye ulemavu kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Emmanuel Majeshi amesema ripoti ya utafiti wa mahitaji wa mwaka 2023 wamebaini vyama na taasisi ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vurugu za Oktoba 29, zilipangwa, kugharimiwa na kuratibiwa na watu kutoka nje, huku dhamira yao ikiwa ni kiupindua nchi.
President Samia Suluhu Hassan has announced a major national reconciliation initiative to be launched within her first 100 ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema licha yaliyotokea, atasimama kuilinda Tanzania kwa nguvu zote. Amesema yaliyopita si ‘ndwele, tugange yajayo’(Oktoba 29), kama madai ni Katiba hakuna aliyekataa, ku ...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wamemchagua Diwani wa Kata ya Imesela, Seth Anthony Msangwa, kuwa Mwenyekiti ...
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limempitisha Diwani wa Kata ya Nyasubi, Matuluma Kaniki, kuwa Mwenyekiti wa Manispaa hiyo baada ya kupata kura 27 kati ya kura ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Child-Help International (Tanzania), Janeth Manoni, amesema kundi la watoto wanaozaliwa ...
Fu Cong, China's permanent representative to the United Nations, sent another letter to UN Secretary-General Antonio Guterres ...