Katika mechi tano zilizopita za ligi baina ya timu hizo, zimefungana idadi ya mabao 12 ikiwa ni wastani wa mabao 2.4 kwa mchezo na ni mechi moja tu kati ya hizo ambayo timu moja haikupata bao.
Liverpool inayonolewa na kocha Arne Slot ndio imetabiriwa kuwa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa ambapo imepewa asilimia 17.2 ya ...
Mara mbili tofauti ambazo Serengeti Boys ilishiriki Afcon U17 ambazo ni 2017 na 2019 haikufanikiwa kufuzu Kombe la Dunia.
Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025, ulijaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao baada ya kushinda ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kiongozi huyo wa kiroho pia aliongezewa damu ili kutibu tatizo la anemia lililomkumba.
Leo tumepewa ujumbe unaosema “Katika kila unalolipitia Mungu akuinulie mtetezi.” Mpendwa tunaishi katika dunia ambayo ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wasanii kuacha tabia ya kugombana badala yake wakae chini kuzungumza na kusameheana.
Kampeni ya Chadema ya ‘No reform, no election’ (Bila mabadiliko, hakuna uchaguzi) imeendelea kupasua vichwa makada wa chama ...
Dimpozi la kwenye shavu ni maarufu kwa kuleta tabasamu la kipekee na mvuto wa aina yake, dimpozi la kiunoni maarufu kama ...
Katika tuzo za wachekeshaji zilizogawiwa leo Februari 22, 2025. Mchekeshaji Dogo Sele ndio amezifungua tuzo hizo za Tanzania Comedy Awards zilizotolewa The Super Dome Masaki kwa ...
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ...